Zimebaki siku mbili kuifikia siku ya
fainali ya Mashindano ya Miss Universe 2014, ambayo yatafanyika Miami,
Marekani January 25, 2015.
Tuliona taarifa kuhusu mshiriki wa
Tanzania, Nale Boniface kuwa moja ya washichana waliosifiwa zaidi na
mwandaaji wa Mashindano hayo, KURA yako ina nguvu kumuongezea nafasi ya
ushindi mshiriki huyo, utaratibu wote uko hapa >>>MissUniverse.com
Huenda uliwafahamu wachache, leo
nimekuwekea pichaz zao wote uwajue, wawakilishi kumi wa Afrika kwenye
Mashindano hayo wako hapa pamoja na majina yao na nchi wanazowakilisha
pia.

Nale Boniface, Mwakilishi waTanzania.
Blogger Comment
Facebook Comment