Kuna Disstrack tumezisikia nyingi sana kati ya Remy Ma Na Nick Minaj
wakipeana makavu live na Tunakumbuka Nick alikuwa kimya kwa game na
sikendo ndio zilikuwa zinasikika tu,Nakumbuka kazi kubwa aliyoifanya ni
tangu aachie Album ya The Pinkprint.
Alimpa onyo Remy Ma Kuwa alimpa miaka miwili tu wakati yupo kimya na sasa anaanza kuachia ngoma kali tu.
Na hii ndio shida mpya aliyoiachia Nicki Minaj ngoma inaitwa ‘Regret in Your Tears’
Home / Uncategories / Remy Ma Alipewa miaka Miwili ya kufanya mziki sasa Nick minaj karudi tena kwenye game lake
Blogger Comment
Facebook Comment