Mshindi wa shindano la Miss lililofanyika Mwaka Jana mkoani Njombe Tatiana Amekuwa ni mmoja ya washindi ambao wamekuwa mfano mzuri wa kuigwa katika Jamii yake hasa katika kuleta maendeleo katika Jamii yake inayomzunguka na amekuwa mfano mzuri wa kuigwa katika Jamii yake.
Tatiana
Yupo katika mipango mingi ya kuitambulisha Njombe katika mambo mbali hasa katika kilimo na Ufugaji amesema Msanii yeyote au yeyote ambaye ni kioo cha jamii lazima afanye yale mambo yatayoigwa na jamii yake,Hata hivyo amesema yupo tayari kuingia mkataba na kampuni yoyote ambayo iko ndani ya nchi au nje ya nchi ili kufanya kilimo cha kisasa hasa katika mazao ya biashara.Katika hili kuna baadhi ya wasanii wakubwa ambao wanafanya kilimo au kuingia mktaba na makampuni kama Masanja mkandamizaji,Ben Paul,Rose Ndauka,Shakira kutoka Colombia.
Akizungumza na MwakaTV amesema Shindano la Miss and Mr College 2017 kwa upande wake amelipokea vizuri na anaamini hii ni fursa nzuri kwa washiriki katika Tamasha hili,Pia ataungana na washiriki kwenda kufanya usafi katika hospitali ya mkoa wa Njombe Kibena.Pia ameonyesha Furaha yake kupitia akaunti yake facebook''Wakaz wa njombe ijumaa tunamtafuta mr and miss njombe msikosee Charles Ndumbaro baba unakumbuka mwaka jana tulichukua sisi eeh sasa mwaka huu sijui watachukua wakina nan msikoseeeeeeeeeee'' ameandika Tatiana
Pia amewashukuru wadhamini wa Tamasha hili ambao ni Njombe Milk Factory na Marieth Natural Foods Company Limited kwa ushirikiano mkubwa waliouonesha na yeye yuko tayari kuwa unga mkono
Home / Uncategories / Miss Namba 1 katika mashindano ya Umiss Mwaka 2016 Tatiana Afurahishwa na Maandalizi ya Miss and Mr College 2017
Blogger Comment
Facebook Comment