Team nzima ya Roc Nation Imeonekana kufurahia hatua ya Bosi wao kuchaguliwa katika kipengere hicho kwa kupost twitter post zinazoonyesha wako na furaha.
Mwaka 1996 Jay z aliachia album ya Resonable Doubt na sasa imefikisha miaka Ishirini
Hizi ni tuzo ambazo yuko nazo ndani ya kikabati
Grammys-21
MTV VMAS-8
BET Awards-7
na AMAs 3
Wengine waliochaguliwa katika tuzo hizi ni Randy Goodrum, Jeff Lynne, Tony Macaulay, Kenny Nolan, Dan Penn & Spooner Oldham, Paul Overstreet, P.F. Sloan & Steve Barri, Mickey Stevenson, Allee Willis, Maury Yeston, Bryan Adams, Peter Cetera, Robert Lamm, & James Pankow, and David Gates.
Blogger Comment
Facebook Comment