
Usiku wa juzi kuamkia jana January 11 Chris Brown
alikuwa anapiga show katika Club ya San Jose, California Marekani
lakini kukaibuka tukio milio ya risasi, show ikavurugika huku watu wanne
wakijeruhiwa katika tukio hilo.
Chanzo hakijafahamika, Polisi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo, Chris alitweet “I’m 100” kuonyesha hakudhurika kwenye tukio hilo japo Tweet hiyo ilifutwa muda mfupi baadaye.
Blogger Comment
Facebook Comment