BMK Production Yamtambulisha Rasmi Msanii Katika lebel hiyo Ozil Ambaye Anatarajia Kuachia Dude.Awachana ally kiba na Diamond

Msanii wa kizazi kipya Oze Vicent maarufu kama Ozil Ameaamua kuvunja ukimya kwa kuanza na maandalizi ya Video yake ya Wimbo wake mpya unaoitwa ''Mchezo gani''Ambao Amefanya katika studio ya Bmk Production.Amesema kuwa kutokana na majukumu ya kikazi alikuwa Busy ila kwa sasa ameamua kuingia katika Vita ya Mziki.


Amesema kuwa yeye hafikiri chochote kuhusu Maswala ya Team ambazo zimejitokeza katika mziki huu wa bongo flava huku akiwashauri ally kiba na Diamond kuzivunja hizo team na sasa waangalie na  kuitangaza Tanzania ya Magufuli.

Amesema kuwa kuhusu Mipango yake anashukuru Uongozi wake ndani ya Bmk Production wamejipanga kwa kila mbinu kuhakikisha anafika sehemu ambayo ni nzuri ambayo watanzania watamjua kutokana na Kazi Nzuri amabayo anaifanya.Amesema kuta Wiki hit tutegemee Ndundo jipya litakuwa Mtaani
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment