''No 1 Champion'' Yamtambulisha Rasmi Bojan Click Katika Game La HipHop Hafananishwi na Mtu

Msanii wa Mziki wa Hiphop kutoka Tanzania Bojan Click amejitokeza Rasmi na kuachia Wimbo wake mpya ambao ameupa jina la No 1 Champion ni wimbo wa kipekee ambao umekuja kubadilisha mziki wa Hip hop Tanzania.

Kutokana na uwezo wake watanzania wamempokea kwa mikono miwili na kumkaribisha katika mziki huu ambao ni ajira kwa vijana wengi hapa nchini Tanzania.Amesema kuwa Huu ndio wimbo wake wa kwanza ambao ameuachia na Video ikiwa ananyimbo nyingi ambazo ni za audio bado hajaziachia huku pia Akiomba mdhamini ajitokoze ili aweze kufika mbali zaidi.Katika wimbo huu amemshirikisha msanii anaitwa Mkaks
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment