Baada ya RudI Nyumbani sasa Bakodo inatarajia kuchafua hali ya mziki

Msanii anayefahamika kwa jina la Ba Johnson Amesema ni muda muchachee umebaki anatarajia kuachia kishindo kingine ambacho kitakuwa ni hatari katika mziki. Amesema kuwa anashukuru wadau wake kwa kuipokea ngoma ya Rudi nyumbani ambayo hata video yake imefanya vizuri mtaani.

Amesema mipango mipya imeanza na tayari amefanya ngoma inaitwa bakodo ambayo anasubiri uongozi wake upange muda ili aenda akafanye video ya wimbo huo.  Amesema kuwa tayari mipango imeanza ya kuongea na director ambaye hajataka kumtaja jina  mapema.

Kuhusu taarifa  zilizozaga katika mitandao ya kijamii kuwa ameachana na mpenzi wake aliye nae hivi sasa amesema anashanga hata hajui  hizo tarifa zimetoka wapi na ni nani katoa kwani yeye na mpenzi wake wako sawa.Kikubwa wadau wasubiri kazi mpya tu.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment