Eeeeh Makubwa Kumbe Meek Mill Beef Kwake Ni Faida Baby Ake Kaongea

Wakati akifanyiwa interview huko Nchini Marekani Ameweka wazi kuhusu Beef zinazojitokeza kwa mpenzi wake Meek Mill kati yake na The game pamoja na Drake,Amesema kuwa Beef zinampa faida kwa kumtengenezea Jina kwasababu zinamfanya azungumziwe mara kwa mara katika mitandao na Radio pamoja na Tv.
Akieleza kuhusu faida zake amesema Meek mill anaishi kwa beef na pindi atakapokuwa anazungumziwa ndipo anaachia ngoma basi inamfanya afatiliwe zaidi,Lakini pia amesema kuhusu tabia za mme wake ambazo sio nzuri amesema mbona kuna wanaume wengi ambao wanafanya mambo mabaya katika jamii lakini hapendi kuyaweka wazi na hivyo hivyo hapendi kuingilia mambo ya wanaume kwasababu hayana faida kwake na meek kwa sasa ni mtu mzima.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment