Tayari ‘Collabo’ ya Diamond na Neyo imekamilika.



Ni moja kati ya Collabo kubwa nyingine kwa Nasee ‘Abdul’ Diamond, ambayo jana kathibitisha kumalizwa kwa mkwaju huo na star wa kimataifa wa RNB Neyo.
Diamond alipost picha jana Instagram akiwa na star huyo, crew yake na Producer wa Ban Records Sheddy Clever.
“Thanks alot my Brother @neyo and the Whole Compound Crew had a great Session, and it was realy nice working with you…can’t wait for the World to hear this Hit Song!!” ameandika Diamond baada ya kuweka picha hiyo.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment