Tunaita ‘bandika bandua’ bado anaendelea kuandamwa na majanga na
kushtakiwa kila kukicha, Bryan ‘Birdman’ Willium ambaye ni rapper na
Boss wa Cash money anashutumiwa tena na mfanyakazi wake wa ndani aitwae
Javier Nuno kwa kutomlipa mshahara wake kwa miaka miwili na nusu.
Nuno ansema amefanya kazi katika nyumba ya Birdman Florida, kuanzia September 2012 mpaka February 2015 na makubaliano yao ilikuwa apewa dola za kimarekani 1000 ambazo ni sawa na dola 4000 kwa mwezi.
Kwa maana hiyo Nuno anadai dola za kimarekani $129,000 pamoja na marupurupu ya dola $48,375, hivyo basi akichanganya na gharama za fidia anatakiwa alipwe dola 354, 750.
Birdman anakesi nyingine tayari na DVLP akidaiwa dola 200,000 za kimarekani, kwa kuwa hakulipa gharama za ‘production’ ya nyimbo za Ll Wayne na wasanii wengine wa Cashmoney.