BASATA.Limeifungia Ngoma ya ‘Viva Roma’ ya Roma Mkatoliki

Baraza la sanaa Tanzania BASATA, limeifungia rasmi ngoma ya Roma Mkatoliki iitwayo ‘Viva Roma’ kwa sababu hakuna ushahidi wa alichokiimba.

Taarifa ya BASATA imesema mbali na wimbo huo, pia wamezifungia nyingine zenye mahadhi kama hayo.

Siku za Hivi Karibuni , Roma aliandika Instagram kuhusu kutishiwa kufungiwa kwa ‘mkwaju’ huo.



Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment