
Taarifa hii nzuri kwa Diamond, inaongezewa nakshi zaidi kwa kuwa ametajwa kuwania kipengele cha Best African Act katika tuzo za MTV Europe2015, akichuana na wakali wengine wa music Africa.
Diamond sasa anaungana na mastar wengine waliofikisha Followers milioni 1 Africa kama Davido, Wizkid, Lupita Nyong’o.
Blogger Comment
Facebook Comment