Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Nick Minaj Rapa Safaree Samuels Ambaye walidumu katika mahusiano kwa muda wa miaka 12,Na baadaye kuachana na Nick Minaj Kutua kwa Mnyamwezi Meek Mill na Mengi yalizungumzwa baada ya kuachana kwao
Huwezi
amini Safaree bado anamkumbuka Nick kwa staili tofauti za kufikisha
ujumbe kwa Nick Minaj na sasa ameachia ngoma inaitwa ''Cant lie'' huku
inaonekana kufunguka sana kuhusu penzi lake lilopotea na kudondokea nchi
jirani
Ngoma yake hii iatapatikana katika Mixtape yake Mpya inayoitwa'' It is what it is ''
Blogger Comment
Facebook Comment