Juzi kwenye utoaji wa tuzo za MTV VMA 2015, rapper asiyeishiwa
vituko unyamwezini Kanye West alitangaza nia ya kugombea Urais wa
Marekani ifikapo mwaka 2020.
Sasa chama kilichopo madarakani cha Barrack Obama Democratic Party, kimesema wanamkaribisha kwenye mapambano na uwanja wa kisiasa.
Democratic wametumia ukurasa wao wa twitter, kumpongeza na kumkaribisha kwenye kinyang’anyiro rapper huyo wa Chicago.
“Welcome to the race, Mr. West. Glad to have you“.
Wachambuzi wa mambo wanadai pongezi hizo zinaweza kuwa za kumkejeli.