Kaa Tayari Kusikia Album mpya ya Rick Ross Alhamis.


The boss kutoka MMG Rick Ross, ametangaza kuachia album yake mpya ‘Black Dollar’ alhamis wiki hii.Mwanzoni mwanasheria wake alitangaza album hiyo itatoka mwezi July, lakini kukamatwa kwake ndiko kulivuruga ratiba.
Ross leo ameachia ngoma ya kwanza “Foreclosures,”  itakayojumuishwa ndani ya Album hiyo.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment