Msanii Kutoka Njombe Brana Radium Afunguka Kuhusu Ujio Wa video Ya 'Nimejifunza'

Msanii kutoka Njomnbe ambaye alifanya vizuri Kupitia Wimbo wake wa Ndomboro Ambayo ilishika namba tano kupitia radio ya Uplandsfm Mwaka 2013 Kupitia Uplandsfm Radio kwenye kipindi cha Top 20.,Amefunguka na kusema kuwa baada ya kuiachia Ngoma ya Nimejifunza Na Sasa hata kaa kimya Tena. Hii ni Baada ya Kuingia Kwenye Label Mpya ya MKCLASSIC ambayo inaongozwa na Meneja Wake Immanuel Mnami.

Na sasa amefunguka kupitia MwakaTv kuwa Video yake amepanga kufanya Na Director ambaye anafanya vizuri na hii amewataka wadau wake Kusubiri hii suprise ya Director Mpya ambaye amefanya Ngoma nyingi na kupigwa katika Vituo Vikubwa Hapa Tanzamia Na Kenya,
''namshukuru meneja wangu na uongozi kiujumla kwa kuniamini na kufanya nao kazi na nashukuru kufanya kazi na Mkclassic Ngoma yangu inafanya vizuri hadi kenya na hii inaonyesha ni jinsi gani tuko na lengo moja katika kazi'

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment