Ameeleza Video imefanya vizuri kutokana na kufanya kazi na waongozaji wa Video wenye uwezo mkubwa ambao ni Bm na Franco ambao wameamua kuja kufanya mapinduzi ya video mkoani Njombe,,Huku akieleza anaamini kwamba nisachi ni Miongoni mwa Video bora itakayo mtambulisha kimataifa zaidi Huku akiweka wazi mipango mikakati ni kufanya mziki wa kimataifa zaidi.
Kwa Upande Mwingine amemsifia video Queen akatika video yake kuwa ameonyesha uwezo mkubwa katika kichupa chake na alikuwa ni Muelewa baada ya kuelekezwa baadhi ya vitu,Na amewashukuru wadau wake wanao support mziki mzuri na kumfanya aweze kuwa na Moyo wa kufanya Mziki wa kimataifa
Riser na video queen kwenye pozi
Blogger Comment
Facebook Comment