Je Ni Kweli Mori Bella Anaimba kama Rihhana A.k.a Bad Girl?

Uwezo wake Msanii wa kike Kutoka Njombe Unamfanya watu watafsiri kuwa anaimba kama Rihanna wa marekani,,hii yote ni kutokana na Uimbaji wake na pale tu atakapotumia lugha ya kigeni hasa kingereza,Licha ya wadau kuhoji kuhusu hili ameweka wazi kuwa ni kweli msanii anaye mkubali ni Rihhana na anavutiwa na uimbaji wake na ubunifu wake.
Lakini pia Morri hajataka kuweka wazi kuhusu Tattoo aliyoichora kwenye mguu wake wa kulia Amesema ameamua kuchora kwa mapenzi yake tu kwasababu ni muda mrefu anapenda Kuchora Tattoo.
 Muonekano wa tattoo ya morri bella
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment