Kaburu akiwa na Amber Lulu
Shughuli hiyo iliyohudhuriwa na mastaa mbalimbali wa muziki nchini, ilifanyika nyumbani kwake huko Bunju B jijini Dar es salaam.
Akiongea na ndugu jamaa na marafiki muda mchache baada ya kumaliza shughuli hiyo, alisema ameamua kumtambulisha Amber Lulu kwa jamii ili kieleweke kinachoendela kati yao.
Alisema walikuwa kimya kwa muda mrefu kuhusu mahusiano na mrembo huyo kwa kuwa hawakuhafikiana kuweka wazi juu ya mahusiano yao.
Blogger Comment
Facebook Comment