Msanii huyo amesema siri kubwa ya ubora wa kazi ni uongozi alionao wenye nia ya kuufikisha mbali mziki wake ndio wamekuwa wakiumiza kichwa nijisia gani Mimi nitakuwa karibu na wadau wangu.
Donny na video Queen kwenye mahaba 1000
Pia amesema kuwa Hii ndi ngoma yake ya kwanza ambayo Video yake imefanyika nje ya nchi Kenya na Director ni Nick class huku audio ikiwa imetengenezwa na Tony Drizzy huku akieleza kuwa licha ya changamoto lakini anamshukuru Mungu walimaliza salama na wadau wameipoka vizuri ngoma yake.Kuhusu mahusiano na Video Queen wa hii video hii amesema kuwa ''kikawaida kwa mwanamme yeyote yule ni msichana ambaye ni mrembo mwenye mvuto sana mwanamme yeyote akimuona lazima awe na mshituko kidogo na kumtamani'' Amesema donny
Mwisho amewashukuru wadau wake kwasupport wanayotoa na kuwaahidi kuwa kunangoma mpya inayofata baada ya hii ila wasupport kwanaza ameniweza
Blogger Comment
Facebook Comment