Msanii wa kizazi kipya kutoka MkoaWa Iringa Mo Talent Amesema kwamba yeye ameamua kufanya mziki na mziki ndio kitu kikubwa ambacho anaamini kitamuingizia Fedha katika maisha yake kwa sasa amejiandaa kuachia ngoma mpya kali ambayo inakuja baada ya Ngoma aliyoiachia mwanzoni mwa mwaka huu wimbo unaitwa siri.Amewataka wadau wakae mkao wa kula.
Home / Uncategories / Kutoka Mafinga huyu hapa anaitwa Mo Talent anatarajia kudondosha hatari nyingine,Amesema ngoma mpya Imeshapikwa
Blogger Comment
Facebook Comment