Selfie na umaarufu wake, ukiingia huko Instagram ni Selfie kwenda mbele.
Utafiti wa mwaka 2013 unaonyesha wanawake wa Australia wanaongoza kwa kujipiga Selfie kwa lengo la kuweka katika mitandao kijamii kama Facebook, Instagram, na Twitter.
Unaambiwa katika zile kali zaidi kuna hizi kumi nimekuwekea hapa, nyingine zinashtua, lakini nyingine ni balaa!
Zicheki halafu nitafurahi ukiniandikia ipi ni kali kuliko zote?

Hakujali kwamba atapigwa na ng’ombe, alipiga Selfie yake huku anakimbizwa.


Huyu alipiga Selfie na papa.

Hawa walitumia Selfie stick, juu kabisa ya ghorofa.

Hapa kwenye pozi na chui.
Blogger Comment
Facebook Comment