
Nchi ya Misri imewahukumu washtakiwa
20 wa kundi la Muslim Brotherhood kwa kufanya shambulio lilowaua watu 5
huku wengine wengi wakiachwa na majeraha.
Moja kati ya washtakiwa hao ni aliyekuwa
Mwenyekiti wa zamani wa Idara ya Uamuzi kwenye kundi hilo Bw. Mohamed
Badie. Tukio la shambulizi lilifanyika julai 2013 katika kituo cha Polis
baada ya kuondoklewa madarakani aliyekuwa rais wan chi hiyo Mohamed
Morsi.
Hata hivyo makahama iliyotoa kifungo hicho iliyopo mji wa Said imesema washtakiwa hao bado wanayo haki ya kukata rufaa.
Blogger Comment
Facebook Comment