Rapper na mwanamitindo Wiz Khalifah, amekamatwa na polisi uwanja wa
ndege kwa kosa la kugoma kuacha kuendesha hoverboard kiwanjani humo.
Instagram zimesambaa video na picha mob, zikionyesha tukio hasa lilivyokuwa huku nyingi zikionyesha akitiwa pingu.
Blogger Comment
Facebook Comment