
Bill Nass amefunguka hayo wakati akihojiwa kwenye Mwaka tv ambapo amesema kwa sasa anafahamika kwa wadau kutokana na ngoma yake ya Raha aliyomshiriksha Naziz na T.I.D huku pia aliweza kupata nafasi ya kuchaguliwa kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro.
“Ngoma ile imenibariki sana, nimefanikiwa kiasi flani kutengeneza jukwaa la kujulikana kwa watu na sasa nimeshaachia ngoma mpya inayoitwa Ligi Ndogo ambayo pia imepokelewa vizuri”, alieleza Bill Nass.
Blogger Comment
Facebook Comment