
Mkali kutoka Compton Kendrick Lamar, nae ameingia kwenye mchongo huu muhimu kwa kuanzisha mfuko utakaosaidia na kuhamasisha wanafunzi aliouita Be alright.
‘Fund’ hii itakuwa ikifanyika msimu wa wanafunzi kurudi mashuleni, na atakuwa akitoa zawadi na scholarship mbali mbali.
Hatua hii ni baada ya mauzo makubwa ya Album yake ya Pimp A Butterfly.
Blogger Comment
Facebook Comment