
Staa asiyeisha vituko Cris Brown
amechora tattoo mpya nyuma ya kichwa chake huku akwaduwaza wadau wa
burudani kushindwa kufahamu maana ya tattoo hiyo.
CB amefafanua maana ya mchoro huo
kichwani kwake ambao inaonekana ni sanamu la kichwa cha mtu. Cris
amesema huo mchoro ni Sanamu la Mungu wa Kigiriki “Venus de Milo“Na
inamaana ya Amani na Upendo.
Mchoro huo wa sanamu pia unatarajiwa kuonekana kwenye cover ya albamu mpya ya Jay Z “Magna Carta… Holy Grail.
Mchoro huo uligundulika miaka ya 1820 na ni mchoro wa kumbukumbu na heshima kubwa kwenye nchi ya Ugiriki.
Blogger Comment
Facebook Comment