
Klabu soka ya West Bromwich imesema
haipo tayari kumuachia mchezaji wao mwenye asili ya Afriaka Saido
Berahino kwenda kucheza ndani ya Klabu ya Tottenham Hotspur kwa thamani
ya pesa ndogo.
West Bromwich wamesema kama kweli Tottenham Hotspur wanamtaka mchezaji huo itawalazimu kutoa kiasi cha Euro million 25.
Tottenham Hotspur wamepinga kutoa kiasi
hicho cha fedha na kusema kiasi hicho ni kikubwa sana kulinganisha na
thamani yake, lakini wapo katika majadiliano zaid waone kama wataongeza
fedha kidogo li kuwashawishi West Bromwich .
Blogger Comment
Facebook Comment