Hii Hapa Barua ya 2Pac toka kwa Kendrick Lamar


Jana tarehe 13. Septemba ilikuwa ni kumbukumbu ya siku ya kifo cha Mkali wa HipHop aliyewahi kuitiksa dunia kwa tungo zake hayati 2Pac Omary Shakur.

Ni wengi waliohudhunishwa na kifo cha mwanahiphop huyu aliyetokea kuwavutia na kuwashawishi wanamuziki wengi wengi wanoafanya aina ya muziki huo kwa sasa.

Miezi kadhaa iliyopita mwanamuziki Eminem aliwahi kuandika barua ya wazi ya kumshukru mama mzazi wa 2 Pac kwa kumzaa ngulii huyo ambaye pia kwa namna moja ama nyingine amechangia fani yake kukua.

Naye rapa Kendrick Lamar ameandika barua ya wazi na kuonyesha mapenzi yake kwa marehemu 2pac.

Ndani ya Barua hiyo Lamar ameama Tupac amebadilisha maisha yake kwani ni msanii aliyemshawishi kwa kiasi kibwa kufanya muziki anaoufanya sasa.

 hii hapa. naomba uisome
Kendrick-Letter
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment