Mpiga picha wa rapper Ice Cube Patrick Hoelk, anajiandaa kuwapeleka
mahakamani ‘Forever 21′ kwa kutumia picha za Ice alizozipiga yeye bila
ruhusa.
Patrick analituhumu duka hilo kubwa la mavazi kwa kutumia picha hizo kama logo kwenye masweta ya kike na Tishert.
Ameenda mbali zaidi na kudai kuwa, atafungua kesi dhidi ya lebo kubwa nyingine ya Control kwa kufanya kitu kama hicho.
“Niliwahi kuwaandikia barua kampuni zote hizi kuacha kutumia piacha zangu bila makubaliano, hawakunielewa, sasa kinachofuata ni kuwapeleka mahakamani tu” ameliiambia TMZ.

Blogger Comment
Facebook Comment