Ujio mpya wa Nas kuachia ‘The lost tapes 2′.

Pini hizo zilikuwa ni mabaki katika Mikwaju iliyounda album zake kama, Am, Nastradamus, na Stillmatic.
Awali tetesi zilisanua kwamba Nas angetoa toleo la pili la ‘The lost tapes’ mwaka 2010, lakini hatuona akiiachia.
Sasa wakati akiojiwa na Jarida la Drip, Nas amefunguka ‘exclusive’ kwamba ataachia ‘The lost Tapes 2′ mwaka 2016.
Blogger Comment
Facebook Comment