Wiki hii jarida la bure la NME, litapambwa na picha za mwanadada mrembo Robin ‘Rihanna’ Fenty.
Pamoja na kucover jarida hilo This week, Rihanna pia amezungumzia mambo mengi kuhusiana na mziki wake pamoja mahusiano.
Riri kazungumzia album yake ijayo ya 8, aliyopa ‘tittle’ ya R8 akidai ipo karibu kumaliza ila kikwazo ni Kanye West.
Amesema mara kadhaa wamekuwa wakiahidiana na rapper huyo, kutengeneza ‘mkwaju’ wa pamoja ila inapofika mwisho wa siku ‘Yezus’ hatimizi ahadi.
Katika ‘Line’ nyingine mwanamuziki huyo amedai anafahamu jinsi ambavyo baba North yuko busy.

Blogger Comment
Facebook Comment