Diamond ataperform leo katika Tuzo za MTV MAMA 2016 Hiki ni kile alichokiandia Instagram.

Tunasubiri kwa hamu kubwa Tuzo za MTV MAMA 2016 Na matumaini yetu tunzo nyingi zitarudi nyumbani leo na hiki ni kile alichokiandika Diamond Kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment