Waongozaji wa video ya Nisachi ya Riser Bm na Franco Wamekuwa gumzo kubwa katika uwanja wa video kutokana na uwezo wao wa kufanyia video kali na za kimataifa ambazo zinakimbizana na masoko ya kimataifa Dunia,
Director Bm katika Pozi Msituni akiwa location
Akizunguzungumza na Mwaka tv amesema uwezo alionao ni wa darasani na sio wa kubahatisha na kuhusu mipango yake amesema kuwa wanamopango wa kufanya kazi na kampuni kubwa ambayo itawatambulisha kimataifa ikiwa sasa wapo katika mpango wa kufanya nao kazi na Brana Radium na wasanii wengine wakubwa.
Home / Uncategories / Directors wa Ngoma ya Nisachi Bm na Franco Wamekuwa tishio kubwa katika Kufanya Video,Kampuni za watafuta.
Blogger Comment
Facebook Comment