Leo October 24, Rapa Drake kutoka Canada Anasherekea Siku Yake Ya Kuzaliwa,Hizi Ngoma zinatuhusu.

Rapa asiyeacha vituko rapa anayeiwakilisha Canada Aubrey Drake Graham Na jina analotumia kwenye stage ni Drake amezaliwa October 24, 1986) nje ya Kurap ni   singer, songwriter,, and actor.Ikiwa leo anasherekea siku ya kuzaliwa Drake ameachia ngoma Nne jana Usiku wa kuamkia leo ngoma hizo ni Fake love,Two birds,Sneakin na Remix ya Wanna know ambayo amemshirikisha  Daves hii ikiwa ni style moja wapo ya Drake katika kusherekea siku yake ya kuzaliwa kila mwaka,

Ikiwa amewahi kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa na strippers ndani ya club mmoja huko nchini Marekani kwa kuwagawia Hela hao Strippers (wachezaji utupu)



Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment