Siku chache zilizopita Nick Minaj alieleza kuhusu beef anazokutana
nazo mpenzi wake Meek na kueleza kuwa zinafaida kubwa sana kwa meek mill
zinamfanya watu wasimsahau katika game na ndiomana baada ya beef huwa
anaachia ngoma.
OK na sasa Meek ameachia mixtape ikiwa na nyimbo
14, ikiwemo ‘On the Regular’, ‘Blessed Up’, ‘Shine’, ‘Offended’
amemshirikisha Young Thug na 21 Sava
nge,
‘Outro’ amemshirikisha Lil Snupe na French Montana, ‘Tony Story 3’,
‘Froze’ aliomshirikisha Lil Uzi na Nicki Minaj na nyingine.
Na kama umeitafuta umeikosa fahamu kuwa Mixtape ya ‘Dreamchasers 4’ inapatikana kwenye mtandao wa Apple Music
Na huu ni mwendelezo wa mixtape yake ya kwanza ya
‘Dreamchasers’ambayo
aliiachia mwaka 2011,aliiachia 2012 ikiwa ni ya pili na ya tatu
aliiachia mwaka 2013, Na mixtape yake ya nne ameiachia leo ijumaa.
Blogger Comment
Facebook Comment