Navy kenzo kutimiza Ahadi ya album ya Above in a minute

Kundi linalofanya vizuri katika mziki wa Bongo flava Tanzania Navy kenzo wapo mbioni kutimiza ahadi ya muda mrefu ambayo waliwaahidi wadau wao kuhusu album yao ya Above in a minute ikiwa sio sentensi ngeni katika masikio yetu kama tunawafatilia vizuri katika ngoma zao.

December Mwaka huu ndio mwezi watakaotimiza ahadi hiyo ya album huku wakiamini kuwa itakuwa na ngoma kali ambazo zitawafikisha mbali hadi kufanya vizuri katika chart mbali mbali za mziki Duniani kama Billboard,

Kupitia Mtandao wa Kijamii wa Instagram na Vyombo vya habari Nahreel ameweka wazi kuwa kutakuwa na collable za wasanii wa nje ambao wanafanya vizuri katika mziki hivyo tutegemee mambo makubwa zaidi kwasababu wameamua kuwekeza hadi kwenye production.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment