Hawezi kuhofia Ni nguo gani atakazo vaa wakati wa show,Lady Gaga amesema
Ni ruksa kumshika popote unapoona anastahili kushikwa wakati akifanya
show! Hayo yamebainika wakati akifanya show ndani ya The Satellite mjini
L.A.huku akitangaza album yake siku kadhaa zilizopita
Blogger Comment
Facebook Comment