Ikiwa ni Muda Mrefu tangu wapo katika mahusiano ya
kimapenzi na wamebarikiwa kuwa na mtoto mmoja anaitwa Kendrick Mabeste
na sasa rasmi wamekuwa ni mme na mke harusi hii ni baada ya kufunga
wiki iliyopita.Taarifa zimeenea kwenye Mtandao baada ya mabeste Kupost
Picha za harusi yake.
Blogger Comment
Facebook Comment