Amefunguka kuwa ngoma yake ya Hellow imempa jina Tangu ameanza kufanya mziki wa Bongoflava na sasa ameweka mipango yake wazi ya kufanya ngoma na msanii mkubwa wa bongoflava ingawa hajaweka wazi ni msanii gani ambaye atafanya nae kazi na ngomba hiyo mpya itafanyika katika studio ya Mwaka ze Boy
Katika hatua Nyingine amesema anashukuru kuona mziki wa Mkoani Kwake Njombe Umekuwa Ukifanya Vizuri zaidi na kila msanii anajua nini akifanye.Lakini pia amewashukuru directors waliofanya Video yake Ya Hellow Ambao ni Bm na Franco Kuwa wamesaidia kukuza video yake kutoka na ubora wa kazi walionaofanya na majina yao kuwa makubwa katika game.
Blogger Comment
Facebook Comment