“Let’s make history (again),” ameandika Jay z kupitia Twitter,Kesho
Ijumaa Jay z A.k.a Jigga amesema kesho ataenda kutengeneza historia
nyingine huko Ohio ikiwa ameshawahi kutengeneza historia nyingi lakini hii
kwasababau ni jambo mhimu kwaajili ya kumsupport Mgombea urais B Hillary
Clinton huko Nchini Marekani Basi itakuwa Historia ya kipekee zaidi
Lakini amewashukuru wadau na wasanii wote ambao wanamsupport Hillary
Clinton,
Home / Uncategories / Jay Z Kuweka Historia kesho katika harakati za kumsupport Bi Clinton huko Ohio
Blogger Comment
Facebook Comment