Donny Flavour akunatana na Producer Wa Jux Bob Maneck Kutoka Am Records na Snaisha Studio,Makubwa yafanyika.

Msanii wa  mziki wa Bongo flava Donny Flavour Ambaye kwasasa amekuwa akizungumziwa na vyombo vya habari kila kukicha kuhusu uwezo wake mkubwa wa kufanya kazi na Sauti nzuri aliyobarikiwa na mwenyezi Mungu.Haya Yote yameaanza Tangu alipoachia ngoma yake ya Twende nyumbani huku video akiwa amefanya na Director mkubwa kutoka Tanzania Msafiri kutoka kampuni ya Kwetu Studio,


Amesema kuwa Ngoma ya Twende Nyumbani Imefungua Njia ya kupita na kufahamu ni kipi inabidi akifanye hivi sasa katika mziki wa Bongo flavaTanzania,Ndiomana ameamua kuingia Studio na Kufanya kazi na Producer Mkubwa katika mziki wa Bongo Flava  ambaye ametengeneza ngoma nyingi za msanii Jux ambazo zimefanya vizuri kama Uzuri Wako,Nitasubiri sisikii na nyingine

Akifanyiwa Mahojiano na kituo cha Radio hapa Nchini Amesema kuwa hivi sasa wameshaingia studio na kurekodi ngoma bado vitu vichache vya kumalizia 

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment