Nimejifunza Tour Itafunguliwa rasmi wiki ijayo Usikae mbali na Tv ,Brana Radium ameandaa zawadi nyingine ya Valentine Day kwaajili yako

Mwezi wa Pili kila Mwaka ni mwezi ambao asilimia kubwa ya watu wanautumia kurudisha upendo kwa wale wanaowapenda ,Msanii kutoka Tanzania Brana Radium ameamua kuanza Rasmi Tour ya Kuitangaza Ngoma yake Mpya Ya Nimejifunza ambayo Imetoka Wiki Moja iliyopita ambapo atazunguka  Vituo Mbali mbali vya Tv na Radio hapa nchini.

Amechelewa kufanya hivyo kutokana na majukumu Mengine ya kikazi lakini anaamini hakija haribika kitu chochote kwani bado anaamini wadau wake wanazidi kumsupport na sasa amejipanga kutowaangusha zaidi atazidi kukaza buti.

Meneja wake Emma The Flexible  Amesema tayari kuna zawadi nzuri hivyo wadau wakae mkao wa kula katika kipindi hiki cha sikukuu ya wapendanao.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment