Kwa Kuthamini vitu vya nyumbani na kuheshimu Media za Nyumbani amaeamua kutoka Dar na Kufanya Media Tour katika Mkoa hu,Huku wa Njombe ambao anatoka na ndio makao makuu ya timu hiyo ya Njombe Mji,
Akizungumza na Radio Kingsfm iliyopo Njombe amesema kwanza anafurahi sana kwa radio za nyumbani kusupport mziki mzuri na ngoma ya Njombe Mji ambayo mpaka hivi sasa imekuwa gumzo katika mkoa huo,Akiongezea kuwa anashukuru wadau wamempokea vizuri Rais huyo wa Njombe na sasa kilicho baki ni kufanya Video.
Naye msemaji wa Timu ya Njombe mji bwana Mhagama amefurahishwa na kitendo cha uzalendo alichokionyesha msanii huyo.
Blogger Comment
Facebook Comment