Kidonda cha Msanii Addy Chamfanya aandike mashairi ya Kidonda Changu.

Msanii mkongwe katika mziki wa Bongoflava kutoka mkoa wa Njombe Addy Nga'ari Ng'ari Ameamua kutoa siri ya kidonda chake ambacho kilikuwa kinamsumbua toka muda mrefu,Amesema kuwa toka muda mrefu alikuwa anakidonda moyoni ambacho kilikuwa kinamsumbua kutokana na kuchelewa kuachia ngoma ya kidonda changu,


Kwasasa amesema kuwa kidonda hicho kinakaribia kupona kutoka na maandalizi yalipofikia ya ngoma hiyo ya kidonda changu ambayo anatarajia kutoa hivi karibuAkielezea ngoma hiyo amesema kuwa itawagusa watu wengi na ni ngoma ambayo inaelezea vitu Vinavyoeleweka katika mahusiano.

Amesema kuwa sasa mziki umerudi kwake na atafanya vizuri kwaajili ya wadau wake ambao wanasupport mziki wake,addy amezungumnza hayo wakati akifanyiwa Interview na kituo kimoja cha radio hapa jijini Dar Es salaam.
cover ya kidonda changu Next Release
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment