Last week TMZ walitusanua kuwa hakuna Bifu tena kati ya 50 Cents na
rapper wa Coke Boys French Montana, taarifa ikufikie kuwa hakuna ukweli
katika hili na inawezekana bifu hii ikawa kubwa zaidi kuliko awali.
Kisanga cha rappers hawa kilianza miaka 3 iliyopita, baada ya Cents kumchana Montana kwamba hawezi kuimba peke yake.
Ni kama French analipiza kisasi, baada ya kuonekana hadharani akikiponda kinywaji cha 5o kiitwacho Effen Vodka na kukipigia chapuo kile cha Pdiddy Ciroc.
video inasambaa ikimuonyesha Montana akitupa Effen Vodka kwenye pipa la takataka.

Blogger Comment
Facebook Comment