Papa Francis Uso kwa Uso na Fidel Castro


Habari kuu iliyokuwa gumzu nchini Cuba ni Ujio wa Papa Francis ndani ya nchi ya Cuba na kukutana na aliyekuwa rais wa zamani wa nchi hiyo Fidel Castro.

Taarifa zinaeleza kwamba Papa Francis alienda kumtembelea kiongozi huyo wa zamani wa Cuba nyumbani kwake huku ziara hiyo ikitafsiriwa kama ya kirafiki.

Wawili hao walizungumza kwa muda takribani wa dakika 30 ambapo walijadili kuhusu amani, uonevu kwa baadhi ya raia nchi mbalimbali na uharibifu wa mazingira.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment