Kupitia Ukurasa Wa Instagram Amefunguka kuwa amefungua studio yake Mpya na Producer Katika Hiyo Studio Ni Dibanjo ambaye amechukua umaarufu mkubwa kupita nyimbo za Shetto alizotengeneza Lakini Ni neema kwa wasanii wachanga kwenye hii Studio ya Shetta
Hii ndio post ya Shetta Kupitia Ukurasa wake Wa Instagram
Blogger Comment
Facebook Comment