Elly Fire ni Msanii Wa Bei Mbaya Sio Wa Mchezo Mchezo.Ni mzee Wa Bampa To Bampa.

Msanii kutoka kusini mwenye kipaji kikubwa cha kuweza kuimba kwa style ya kipekee sana na kuwateka wadau kwa kipindi kifupi baada ya kuachia ngoma ya Bei mbaya ambayo imechukua nafasi kubwa sana katika media hapa namzungumzia Elly Fire amabae ni mdogo wake wa msanii mkubwa hapa Tanzania.

                                          Elly Fire katika pozi

Baada ya kuachia Ngoma yake mpya ya Bei Mbaya amesema kuna mipango mikubwna ni kuja na ngoma nyingine ambayo itawakamata watu wote kutoka na mahadhi ya hiyo ngoma huku collable nyingi zikitarajiwa kutoka wakiwemo mastaa mbali mbali ndani na nje ya nchi.

Pia Amevishukuru vyombo vya habari kwa support kubwa ambao wameitoa katika ngoma ya Bei mbaya Wiki  Hii Channel ten imeitambulisha rasmi ngoma ya Bei Mbaya huku wadau wakiipongeza kuwa ni video nzuri pamoja na audio.Huku Magic fm ikiwa imeitambulisha Ngoma ya Bei Mbaya.


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment